Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Hakuna kitu yule ni mama yao anastahili aheshimiwe
 
uko sahihi kabisaa, mzee hakustahili misafarisafar yan ktk hili tutamuhis tu vibaya huyu binti
 
Wabongo baadala ya kutafuta pesa,mnachunguza maisha ya watu,kwanza hilo li picha,limetengenezwa tu,wala sio Jack huyo,na kama ni yeye hiyo picha imepigwa baada ya Mengi kufa,?kwanini hiyo picha haikutoka kabla,mwezi uliopita,mwaka Jana?!!!

Hivi nyie waumini Wa Gwajima mnamatatizo gani?....Hiii ndo Bongo DSM Mkuu ww endelea kutetea tu.
 
Kwa hivi sasa hauwezi ukazungumza lolote kuhusu hao watoto kuwa ndio waongeza ukoo cuz kama dada yao na kaka yao ni LGBT kama ni kweli usemayo ...hata wao wanaweza kufuata njia hiyo


Huyo wa kiume sio kweli , hacheni kumchafua na story Zenu za kubuni, kwanza watu mmewajua baada ya huu msiba halafu mnamsingizia Jambo kubwa hivyo na ni uongo
 
Umeongea point. Ukute hawa wa pembeni hawakumpenda jacky maana kazaa watt. Walijua watoto wa mercy kwa vile hawana watt (yaan mengi hana wajukuu) ina maana legacy itaishia kizazi cha akina abdiel na regina hvyo wao watachukua kila kitu it is only a matter of time uzao wa regi mengi ungeondoka.

Lakini mengi nae aliwawahi akaleta mapacha... wao ni legal heir of reginald M.
Huyo mdogo wa marehemu hajachuma mali zake?hii vita ni ya ndugu wa pembeni kabisa wa mzee mengi,
 
Ndio maana wale watoto wapo kama wana umwa hivi wamelegea legea kwa kifupi hawapo sawa, kumbe ni watoto wa chupa
Exactly. They are abnormal
Kama mmoja ndiyo utamgundua kabisa.
 
Unachosema ni sahihi. But That does not justify kuondoa/kufupisha uhai wa mtu kwa sababu ya mali. Hizi rumours zinazo endelea na jinsi anavyo behave kwenye msiba na kabla ya msiba ndio inaleta dosari. Mbona wamekufa watu mashuhuri na wenye pesa wengi na hatujawahi kusikia mambo tunayoyasikia msiba huu. Kama wanamsingizia walaaniwe ila kama amefanya "shame on her" na hatapata amani daima.
 
Unaamini rumours!! yaan Jacky amuue mumewe kwa ajili ya mali wakati alikua kwenye mali, don't be so naive.

angelia kwa kujitupa tupa mngesema ana act, analia kimya kimya kwa uchungu mnasema hana aibu, mbona hamuwaangalii watoto wake wale wakubwa?
 
Kwamfano Regina age ya kuzaa imeshapita Tayari . Ila abdiel si bado ana mda na anaweza kuoa. Asipoa huyu bro basi Mali zote zitakuja kuwa miliki ya hawa watoto wadogo. Hakuna wa kuzichukua mwingine basi Mzee Mengi hakuwa na makosa kuoa mke Mwingine ili apate watoto . Labda ndio tegemeo la kuendeleza hiyo Mali ya Mzee
 
mkuu vipi unajua kama hawezi kuzaa? Au wewe Dr wa familia?
 
Mimi naamini watoto ni privacy ya mtu kama yule abdiel ana watoto lakini hataki wawe public?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…