Picha: Jamaa anaswa akichinja mbwa kwa ajili ya kuwauzia watu mishikaki

Akilihuru

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2022
Posts
1,512
Reaction score
2,980
Habari zenu wana JF.

Pichani hapo jamaa aliekamatwa akichinja mbwa, akiwa na mbwa huyo, ameshamchinja tayari. Akijiandaa kwenda kumchuna na kumkatakata mishikaki.

Wazee wa kupenda mishikaki pili pili, muwe makini na wauzaji wenu. Kuna siku watu wataanza kulishwa na paka aisee.


 
Kuna documentary Moja kutoka nchi za Africa magharibi walikuwa wanaonyesha biashara ya mbwa kama kitoweo yaani ni kawaida mbwa zinapelekwa kwa mnada wa mbwa na watu wapo bize kuuza na kupika chadogi, Tz 90% hawali nyama mbwa kumepelekea kuwa kitu Cha ajabu.
 
Ili mradi haina madhara kwa binadamu hakuna shida..sema tu bado kuna vitu katika jamii yetu bado tunaona ni kama "taboo" lakini vinalika na kufanyika vizuri tu..kule afrika magharibi wanakula kila kitu aisee labda sumu tu.
 
KiJana mmoja katika manispaa ya Bukoba ametiwa hatiani akijiandaa kumchuna mbwa kwa ajili ya mishikaki.

walaji mishikaki hovyo barabarani kuweni makini.
Your browser is not able to display this video.
 

Ni mitam twna omba mungu ukipita njiani usiishobokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…