Picha: Jamaa anaswa akichinja mbwa kwa ajili ya kuwauzia watu mishikaki

Picha: Jamaa anaswa akichinja mbwa kwa ajili ya kuwauzia watu mishikaki

Habari zenu wana JF.

Pichani hapo jamaa aliekamatwa akichinja mbwa, akiwa na mbwa huyo, ameshamchinja tayari. Akijiandaa kwenda kumchuna na kumkatakata mishikaki.

Wazee wa kupenda mishikaki pili pili, muwe makini na wauzaji wenu. Kuna siku watu wataanza kulishwa na paka aisee.

View attachment 2304946View attachment 2304947
Aisee ebu tuache unafiki,kama mtu unaweza nyonya mbususu kuna shida gani kula nyama ya mbwa?
 
Bado wale nataka Sausage.
Mtakula Ng'ang'a Hadi mnyooke
#KAMWENE MNOGAGE🤭🤭
 
Aisee ebu tuache unafiki,kama mtu unaweza nyonya mbususu kuna shida gani kula nyama ya mbwa?
Mi naamini mwanadamu akiridhia moyoni kipi no sawa nima kipi si sawa Mambo huwa shwari.angalia Congo wanavyokula,China the same . Bongo tunalishwa vingi tu Bora tusivijue
 
Back
Top Bottom