Picha: Jamaa anaswa akichinja mbwa kwa ajili ya kuwauzia watu mishikaki

Apakuliwe huyo kijana.
Ndio vijana wanaopenda Kitonga hao mwambieni akamlishe baba na mama yake hiyo nyama akishindwa mpakueni haswa wajinga wengine wajifunze.
 
Nyama kama hizo tunakula sana bila kujijua na hatudhuriki kwahiyo hazina shida,,,

Kuna siku nasafiri mikoa ya kusini kuna sehemu inaitwa lilondo niliuziwa paja la kuku lina urefu wa ajabu yaani tofauti na kuku wa kawaida nikawaza ni mwewe ila nikala ni tamu balaa.
 
Afadhali na huyu jamaa anachinja watu wanakula nyama fresh.... Wengi huwa wanaokota wale mbwa,paka n.k waliogongwa usiku na magari wanakuja tuchomea tumishkak twa tsh 100 mia. Tunakuwa tutamu hasa. ..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Ili mradi haina madhara kwa binadamu hakuna shida..sema tu bado kuna vitu katika jamii yetu bado tunaona ni kama "taboo" lakini vinalika na kufanyika vizuri tu..kule afrika magharibi wanakula kila kitu aisee labda sumu tu.
Ipo nchi flan wao mbuzi wanamuona kama sisi tunavyomuona mbwa.
 
ndio maana huwa sili hii mishkaki barabarani ya bei rahisi
 
Nyama ya Mbwa ina madhara kwa binadamu...?
Haina madhara kama itaiva vizuri...ila kwa uzoefu kabisa ukiichemsha ina povu mnooo...utafikiri umeweka Omo.
 
Haina madhara kama itaiva vizuri...ila kwa uzoefu kabisa ukiichemsha ina povu mnooo...utafikiri umeweka Omo.
Mkuu ukiweza vinegar yakutosha au Limao la kienyeji hatoii povu....halafu mnakoseaga akichemshwa usiweke moto mwingi ni slow cooking ili iwe tenderized
 
Haina madhara kama itaiva vizuri...ila kwa uzoefu kabisa ukiichemsha ina povu mnooo...utafikiri umeweka Omo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…