gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Yule jamaa ni mzungu kwisha kaziShingo nene, koromeo lipo mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule jamaa ni mzungu kwisha kaziShingo nene, koromeo lipo mbali
Ntakutafitia jinaMajani gani
😆😂😆Yule Kuna majani ukimpa analegea unamchinja hata na wembe
Achana hizo propaganda.....Wanaisha jameni, yaani kiduku wa Korea Kaskazini anawarubini watu wake wanafia kwenye nchi ya watu kwa ajili ya ugomvi usiowahusu, nakumbuka hata wavaa makobaz wa kutokea Syria na kwingine walijaribu wakafyekwa wote....
Mrusi aachwe hiki alichokianisha kiendelee kumtokea puani.
![]()
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy claimed that a North Korean battalion deployed to the Russian front near Kursk was wiped out over the course of two days.
According to Reuters on Jan. 4, Zelenskyy made the assertion during his nightly video address, reporting that Russian and North Korean troops suffered heavy losses in battles near the village of Makhnovka, close to Ukraine’s border. He cited Ukraine’s Commander-in-Chief, Oleksandr Syrskyi, in his briefing.
“Over the past two days, near Makhnovka, Russian forces lost a battalion composed of North Korean infantry and Russian paratroopers,” Zelenskyy said. However, he did not provide additional details.
Reuters noted that battalion sizes can vary but typically include several hundred soldiers. It added that Zelenskyy’s claims could not be independently verified.
Reports from Ukraine and Western officials suggest that about 11,000 North Korean soldiers have been deployed to the Kursk region. These troops are reportedly struggling with heavy losses, facing unfamiliar battlefield conditions and inadequate support.
As of Dec. 23, more than 3,000 North Korean soldiers had been killed or injured, Zelenskyy claimed. He added that North Korean forces were not receiving adequate protection from their Russian counterparts and alleged that some North Korean troops were taking desperate measures to avoid being captured.
MSN
www.msn.com
Ha ha haaa...Huu msafara ulikua ukiongozwa na kamanda wa kirusi Sikirimimimasikini na mwamba mwengine wa kuitwa State Propaganda uli fyekerewa mbali kabisa kabla ya kufika kyiv na makamanda wao waliishia kutimua mbio tu
SadUrusi anachukua maeneo ya ukraine kwa kasi na wanajeshi wa ukraine wanakimbia vita
Hakuna ushahidi wa kueleweka kuhusu hiyo picha sijui hata umeikotezea wapi ?
Avijui kitu vitoto vya 2000 wamekuwa kama wanafiki nafiki vitu awavielewi lkn wanajiona wanajua!!! Sasa ata Wakorea 200 wanadhan ndio Korea itatoa wajeda wake!!!!!!! Iyo Korea inadam ya za warussia kibao walikufa kwenye vita ya KOREA leo wkifa wajeda kumi 20 ndio propaganda za West inaanzia apo kupotosha watu..
Sio kila mkristo ni mtumwa wa wazungu kama wewe naamini Kwa wakenya wengi hasa wewe ukiambiwa umepata bwana mzungu au mmarekani huta kataa kuolewa licha ya jinsia yako ya kiume
Hii vita ukimsikiliza Zele unasema Urusi mpaka kesho kwisha habari yake ukimsikiliza mzee wa taekwondo Putin ndio kabisaa unasema Zele akimbie kabla hajachunwa ngozi basi mwenye D moja ya masomo ya dini aelewe
Putin alishagundua maji yamezidi unga akaomba Zele aridhie wamalizane kwenye meza ya mazungumzo, Zele angekubali tu yaishe...Wanaisha jameni, yaani kiduku wa Korea Kaskazini anawarubini watu wake wanafia kwenye nchi ya watu kwa ajili ya ugomvi usiowahusu, nakumbuka hata wavaa makobaz wa kutokea Syria na kwingine walijaribu wakafyekwa wote....
Mrusi aachwe hiki alichokianisha kiendelee kumtokea puani.
Wewe ndo unayechanganyikiwa Kwa ushabiki usio na maana ndo maana wengi wa aina yenu huwa mapungaKobaz mbona unaji quote hapo, raundi hii mumechanganyikiwa mnapigwa kote na mpaka mtakapoacha ujinga wa kuchokonoa kila mtu na kukubali kuishi kwa amani
Kiduku kafanya biashara !Wanaisha jameni, yaani kiduku wa Korea Kaskazini anawarubini watu wake wanafia kwenye nchi ya watu kwa ajili ya ugomvi usiowahusu, nakumbuka hata wavaa makobaz wa kutokea Syria na kwingine walijaribu wakafyekwa wote....
Mrusi aachwe hiki alichokianisha kiendelee kumtokea puani.
![]()
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy claimed that a North Korean battalion deployed to the Russian front near Kursk was wiped out over the course of two days.
According to Reuters on Jan. 4, Zelenskyy made the assertion during his nightly video address, reporting that Russian and North Korean troops suffered heavy losses in battles near the village of Makhnovka, close to Ukraine’s border. He cited Ukraine’s Commander-in-Chief, Oleksandr Syrskyi, in his briefing.
“Over the past two days, near Makhnovka, Russian forces lost a battalion composed of North Korean infantry and Russian paratroopers,” Zelenskyy said. However, he did not provide additional details.
Reuters noted that battalion sizes can vary but typically include several hundred soldiers. It added that Zelenskyy’s claims could not be independently verified.
Reports from Ukraine and Western officials suggest that about 11,000 North Korean soldiers have been deployed to the Kursk region. These troops are reportedly struggling with heavy losses, facing unfamiliar battlefield conditions and inadequate support.
As of Dec. 23, more than 3,000 North Korean soldiers had been killed or injured, Zelenskyy claimed. He added that North Korean forces were not receiving adequate protection from their Russian counterparts and alleged that some North Korean troops were taking desperate measures to avoid being captured.
MSN
www.msn.com
Uweke na sababu Kwa ayat😜Achana hizo propaganda.....