Picha: Jay dee aka Komandoo aamua Kujifunza Karate

Picha: Jay dee aka Komandoo aamua Kujifunza Karate

Amuulize mwenzake sijui ndio cheka sijui,maumivu aliyoyapata juzi kati
 
Ole wao vile vi michepuko vya Gadner, jipangeni ohooo!!
 
Hakuna Kitu Hapo !

Kwanza nashangaa anajifunza Karate ili atishie watoto wakike!

Wanaomfundisha wenyewe maadili ya Karate F kabisa!
!

sura yake yenyewe inatosha kutishia hana haja ya karate
 
acheni kum diss.. .safi sana maana lzma aji weke sawa asikae kizembe
 
Isije wanatengeneza video ya wimbo
 
Mwanadada mkongwe kwenye muziki wa Bongo fleva Lady jay dee a.k.a Jide kaamua kupiga tizi la karate na kungfu yenye mchanganyiko na wu shu,ili kujiweka fiti na wale vidomodomo ambao kila siku wanachonga kama mademu wakati wao ni wanaume. Kudhibitisha hilo kaamua kutuwekea picha huko Insta ili tuwafikishie ujumbe wale wanaopenda kumzingua,kwamba wajiandae na kipigo hataki tena malumbano ya mdomo kinachofuata sasa ni vitendo tu.

 
Stress huwa na matokeo mengi...lakini kikubwa ni kujistukia kama kutoa hewa chafu
 
Hakuna Kitu Hapo !

Kwanza nashangaa anajifunza Karate ili atishie watoto wakike!

Wanaomfundisha wenyewe maadili ya Karate F kabisa!
!
Alipaswa kupiga mazoezi mpaka aijue karate vilivyo ili hata akipose ilete uhalisia...sasa hapo hiyo mikao yake mmh
 
Back
Top Bottom