itabid gadna atafute nakoz proof, lasivyo atang'olewa meno
Duh ila jide kakomaaa,sura ngumuuuuuu
Samahani kama utakwazika
Hivi huyo dada bado hajafanikiwa kupata mtoto hadi sasa?
Hakuna Kitu Hapo !
Kwanza nashangaa anajifunza Karate ili atishie watoto wakike!
Wanaomfundisha wenyewe maadili ya Karate F kabisa!
!
Isije wanatengeneza video ya wimbo
Alipaswa kupiga mazoezi mpaka aijue karate vilivyo ili hata akipose ilete uhalisia...sasa hapo hiyo mikao yake mmhHakuna Kitu Hapo !
Kwanza nashangaa anajifunza Karate ili atishie watoto wakike!
Wanaomfundisha wenyewe maadili ya Karate F kabisa!
!
niliwaza hivyo, hii ni njia nzuri ya kupunguza msongo wa mawazo.Stress huwa na matokeo mengi...lakini kikubwa ni kujistukia kama kutoa hewa chafu