Picha: Je madereva mngeweza kuendesha hili gari na ingewachukua muda gani kulizoea?

Kwakua ni madereva basi wala haita chukua muda kabisa ila tafadhali usi wajumuishe wasukuma vi Passo hapo ni matusi makubwa....

Nasubiri kurespond wale wadau watao pandisha sukari na passo zao.
 
Kwakua ni madereva basi wala haita chukua muda kabisa ila tafadhali usi wajumuishe wasukuma vi Passo hapo ni matusi makubwa....
🤣👍
 
Upper gear 9, change down 9 wala haina shida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…