Mama Waziri wa Nchi, Baba balozi Uingereza....
Halafu kuna Baba Mkurugenzi EWURA Mama Spika wa Bunge...
Na kuna wale watoto wa Rais wa Zanzibar wake zao ni wabunge wa bunge la Jamhuri au wake zake yeye kitu kama hicho...
Kuna Mama Mkwe Rais wa Jamhuri, Mka Mwana Waziri TAMISEMI
Bado kuna wale wa kurithishana wakistaafu, kina Pinda, Kikwete, Makamba, Lowassa, and all the rest of them
Nimeelewa kwa nini nchi nyingine watu wanaamua kuwa ma terrorist, serikali dhalimu hawana jinsi...
Jana Dikteta Putin kapigwa na ma terrorist mjini Moscow hapo siku mbili baada ya kuiba uchaguzi