DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
AiseeNilikuwa hapa hapa.
Duuh,. Ila kuna watu ni wazamani sana humu aisee 2006 parefu nyieNilikuwa hapa hapa.
Watu tulianzia darhotwire ikapotelea mbali sema watumiaji wengi walikuwa watu waliyo mbele hukoDuuh,. Ila kuna watu ni wazamani sana humu aisee 2006 parefu nyie
Sidhani kama nlikua najua vingine ukiacha na jina langu,. Labda na A for Apple😂😂
2006 ulikuwa toddler? 🤣Duuh,. Ila kuna watu ni wazamani sana humu aisee 2006 parefu nyie
Sidhani kama nlikua najua vingine ukiacha na jina langu,. Labda na A for Apple😂😂
For real,. Sikua hata najua kama leo siku gani.2006 ulikuwa toddler? 🤣
Ulikuwa una potty train?
Hahahaaa good grief.
Aisee nimecheka sana!For real,. Sikua hata najua kama leo siku gani.
Hongereni sana aisee mmetoka mbali sana
Hivi Internet cafe bado zipo?Darhotwire ilikiwa hot kwelikweli, enzi hizo lazime uingie internet Cafe saa 1 shilingi 500/1000
Si mchezo,kipindi hicho nlivyoona bongo net miyeyusho ilibibidi nyumbani nifunge Internet service ya wale jamaa wa cats net,simply wireless ili niperuzi vzr netDarhotwire ilikiwa hot kwelikweli, enzi hizo lazime uingie internet Cafe saa 1 shilingi 500/1000
Yaani😄,.Aisee nimecheka sana!
I’m old enough to be your dad 🤣.
Kicheko pale moshi mjini December niliona ipo waziHivi Internet cafe bado zipo?