Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Laah ulikua na 23 mwaka huo 2006🤓🤔,.Ndo salaam gani hiyo?
Yaani haya buana 🤣🤣🤣
Marahaba mdogo wangu nilijiunga humu nina 23 tu
Kweli bado nina safari ndefu sana
Chamsingi mkifa mie nitakua nawahadithia watoto habari na nyuzi zenu🤒😂