Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,907
- 3,895
Enzi hizo naitwa sela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilikuwa na hotmail tokea 1996.yahoo nilianza kutumia mwaka 2003
Facebook nilijiunga mwaka 2009
JF 2008 nikawa sina ukomavu wa juu nikajipa suspension nikarudi tena 2010
KadaMpinzani ni ya kwako?Nilikuwa nipo Darhotwire.com ingawa pia nilikuwepo hapa kwa ile ID yangu nyingine🙂
Dunia inaenda kasi sana,.Ndio raha ya utandawazi, tunajochanganya watu wa rika zote bila kubaguana, sasa kama mzee kama mimi naweza kukutongoza na kukuweka...🤪dunia inaenda kasi sana!
Hongereni sana aisee,.2006,2007,2008 muda huu mwingi nilikiwa guest, JF ilitawaliwa na mijadala ya kisiasa sana na mimi huwa naona siasa za TZ ni ujinga ujinga tu, chimbo langu lilikuwa kwa blogs za Ankal Michuzi, Mjengwa na jamaa mmoja hivi wa US alikiwa sijui DJ yule nimesahau jina lake (miaka hii blogs zilikuwa maarufu kuliko forums)...
2009 nilijiunga lakini baadaye nikasahau password, 2010 mwanzoni nikajiunga tena kuna jambo nilikuwa nataka nipush hapa kwa wadau...
Nilikuwa naingia sana kusikiliza miziki ya nyumbani, kulikuwa na embedded music player ilikuwa na collection ya zilipendwa na miziki mingine...
Wengi wa kitambo wataikumbuka hii interface...
View attachment 3204643
Duh nilikuwa grade two huko Ikungulyambeshi huko 😀😀😀Mimi nilikuwa na hotmail tokea 1996.
Adabu ni muhimu sana popote pale,Hongereni sana aisee,.
Kweli tunatakiwa tuwe na adabu,. Kuna wazazi humu
Yeah ni sahihiAdabu ni muhimu sana popote pale,
2006 cha mtoto mbona.aisee nyie wa 2006 mpewe tuzo kabisa
miaka 20 kabisa
Nakumbuka kipindi natumia simu ya NOKIA EXPRESS MUSIC na BROWSER ya OPERA, basi kuload JAMBO FORUMS ilikuwa inanichukua zaidi ya dakika tano.. 😂Je Unaikumbuka Jamboforum?
Leo Kwenye Kufukunyua Makabuli kwenye Picha Zangu Nimekumbana na Picha Ya Mojawapo Ya Kurasa za JamboForum enzi Hizo Ambayo Kwa sasa ni Jamiiforum..
Ama Kweli Tumetoka Mbali, asante sana Maxence Melo kwa kutufikisha kwenye Maudhui Bora na Hakika Tumetoka Mbali sana..
View attachment 3204571
Mambo vipi?Ilikuwa mwaka gani?
Bebeshi Ole nsukuma wa hale kwa maana elhina!! Lyako "likungu lya bashash" ote nyatunzu bhebhe Nyani ngabuNilikuwa hapa hapa.
Nimekumbuka mbali kweli; zama za Dar Hot Wire, Bongo 5.Watu tulianzia darhotwire ikapotelea mbali sema watumiaji wengi walikuwa watu waliyo mbele huko
Ova
Kumbe u miongoni mwa watoto wa afu mbili.Duuh,. Ila kuna watu ni wazamani sana humu aisee 2006 parefu nyie
Sidhani kama nlikua najua vingine ukiachana na jina langu,. Labda na A for Apple😂😂
96 juzi juzi tu mbona.Duh nilikuwa grade two huko Ikungulyambeshi huko 😀😀😀
1996 mama yangu ndo yupo form 32006 cha mtoto mbona.
Watu tumeanzia Nyenzi.com huko miaka ya 1995/96.
Nafumile Igangabhilili.Bebeshi Ole nsukuma wa hale kwa maana elhina!! Lyako "likungu lya bashash" ote nyatunzu bhebhe Nyani ngabu