PICHA: Jeshi la polisi la Tanzania lina mengi ya kujifunza kupitia picha hii

PICHA: Jeshi la polisi la Tanzania lina mengi ya kujifunza kupitia picha hii

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau..!
Kilichonivutia kwenye picha hii sio ujumbe kwenye haya mabango, bali hii picha ya hawa mapolisi waliopiga picha na waandamanaji hapa kwetu Buza kwa Lulenge nadhani baada ya picha hii kusambaa IJP atawasimamisha kazi maafisa hawa kwa kushiriki maandamano badala ya kuzuia 😂😂😂

2939995_23POLISI_HURU_0A...0AIGP_Sirro_na_Jeshi_letu_la_Polisi3A_Kuna_la_Kujifunza_Kwa_Polisi_hawa...jpg
 
Ma- 'IJP' wao wameenda shule za kikweli na wanaelewa maana ya uhuru na demokrasia tofauti na 'IJP' wetu
 
Habari wadau..!
Kilichonivutia kwenye picha hii sio ujumbe kwenye haya mabango ,bali hii picha ya awa mapolisi waliopiga picha na waandamanaji hapa kwetu Buza kwa Lulenge nadhani baada ya picha hii kusambaa IJP atawasimamisha kazi maafisa hawa kwa kushiriki maandamano badala ya kuzuia 😂😂😂
Hawa ni askari kweli, au ni mgambo tu wa jiji? Mbona askari wote wameshika virungu badala ya SMG?
 
Hawa ni askari kweli, au ni mgambo tu wa jiji? Mbona askari wote wameshika virungu badala ya SMG
Waliozoea kushika AK 47 na kuikoki kila wakiona bendera ya chadema au bango lenye picha ya mbowe kama siyo Lissu ni hao maafande wa buzza lakini huko mbele hawana hizo
 
Back
Top Bottom