Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 9,968 Reaction score 16,680 Sep 28, 2021 #21 Chaliifrancisco said: View attachment 1950510 Click to expand... Hizi sura zimekaa kikatili balaaa
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,432 Reaction score 5,864 Sep 28, 2021 #22 Wanasema hata warundi wakiandamana hapo daslamu kupinga unyonyaji wa serikali yao polisi wa usa watawaunga mkono kama hao wa buza.
Wanasema hata warundi wakiandamana hapo daslamu kupinga unyonyaji wa serikali yao polisi wa usa watawaunga mkono kama hao wa buza.
Admin1988 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2017 Posts 1,603 Reaction score 1,848 Sep 28, 2021 #23 kwanini wana tusemea? MBONA WANAYO YA DAI TAYARI TUNAYO??
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 9,968 Reaction score 16,680 Sep 28, 2021 #24 Chaliifrancisco said: View attachment 1950510 Click to expand... Sura za mbuzi
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Sep 28, 2021 #25 Tate Mkuu said: Hawa ni askari kweli, au ni mgambo tu wa jiji? Mbona askari wote wameshika virungu badala ya SMG? Click to expand... Inawezekana hao wengine ni warefu "kwerikweri" na yeye ni mrefu wastani.Picha isikupe majumuisho ya ziara ya USA.
Tate Mkuu said: Hawa ni askari kweli, au ni mgambo tu wa jiji? Mbona askari wote wameshika virungu badala ya SMG? Click to expand... Inawezekana hao wengine ni warefu "kwerikweri" na yeye ni mrefu wastani.Picha isikupe majumuisho ya ziara ya USA.