Picha: Jinsi Lebanon kunawaka moto ya mabomu ya Israel

Picha: Jinsi Lebanon kunawaka moto ya mabomu ya Israel

Lebanon wanaendelea kupokea adhabu kwa ajili ya Hezbollah...

AFP__20240208__34HU2JH__v2__HighRes__IsraelLebanonPalestinianConflictBorder-640x400.jpg


Three civilians were killed in an Israeli strike on a residential building in the south Lebanon city of Nabatiyeh this evening, a Lebanese security source says.

“Three civilians dead in the Israeli strike, including two women,” a security source tells AFP, requesting anonymity as they are not authorized to speak to the media.

There is no immediate comment from the IDF on the strikes, which came after a rocket attack on Safed killed one and wounded several others.
Usisahau na huku red sea bado haipitiki pamoja na mikwara yote ile ya mazayuni
 

Attachments

  • Screenshot_20240215-111213_Chrome.jpg
    Screenshot_20240215-111213_Chrome.jpg
    434.8 KB · Views: 2
Kwa mwendo huu sidhani kama Israel itakuwa salama zaidi ya kuchochea chuki ya kudumu.
maana wanaua raia wasio na hatia hilo ndio tatizo.
Hao Hezbollah hukumbuki kwamba walinunua ugomvi?

Waliwashambulia Mayahudi bila hata kutukanwa yaani

Halafu uanze kusema hapo mwenye kosa ni Mwisrael?

Siyo kweli mkuu
 
Kwa mwendo huu sidhani kama Israel itakuwa salama zaidi ya kuchochea chuki ya kudumu.
maana wanaua raia wasio na hatia hilo ndio tatizo.
kwamfano na sisi hapa siku moja tukubaliwa kutawaliwa na kikundi chochote chenye mlengo wa ugaidi wazi kabisa kila wakizingua kipondo tunapata sisi ndio kinachowakumba lebanon na palestine halafu irani mchochez wao yeye anakula tu tende na maziwa ya ngamia
 
kwamfano na sisi hapa siku moja tukubaliwa kutawaliwa na kikundi chochote chenye mlengo wa ugaidi wazi kabisa kila wakizingua kipondo tunapata sisi ndio kinachowakumba lebanon na palestine halafu irani mchochez wao yeye anakula tu tende na maziwa ya ngamia
Mbona hata Americant katulia tu huko wanabarikiana nk wakati gaidi wao anateseka
 
Hivi Hezbollah huko Lebanon ni sawa na boko haram huko Nigeria na alshabab huko Somalia?
Hapana, Hizbullah haina ugaidi kama hao wahuni wengine, licha ya kuwa na tawi la kijeshi ila pia ni tawi la kisiasa lenye wawakilishi mpaka bungeni.
 
Ni chama cha siasa cha kishia chenye jeshi lenye nguvu kuliko jeshi la nchi na Kipo kwa ajili ya kutetea Washia.

Lebanon hadi miaka ya 80 ilikuwa ni Kama Taifa la Kikirsto Ila wakimbizi wa Kipalestina na Silaha za Iran zikabadili kabisa demographics yake kabisa.
Kumbe ndiyo maana misri hataki kuwapokea anajua wataanzisha vikundi vyao vya kigaidi kuliberate palestinians utakuwa msala
 
Acha Israel awashugulikie tu maana hakuna namna nyingine!
Mimi nawashangaa wanao lia lia sijui cease fire cease fire cease fire. Hamas wenyew waliitaka hii vita ndo maana walijiandaa mda mrefu kwa kutengeneza mahandaki kakusanya RPG na risasi mwisho wa siku wakaenda kuvamia Israel. HIVYO HAMAS WAACHWE WAPIGANE MPAKA WASHINDE KULINGANA NA MIPANGO WALIOJIWEKEA MAANA WALITARAJIA ISRAEL ATALIPIZA. YAAAANI KISHERIA TUNASEMA " HAMAS WALI FORESEE AND DESIRED THE CONSEQUENCES"
 
Kuna Waislamu na Wakristo wa asili hapo Jordan. Jamii ya Walebanon wana mixer ya Uarabuni na tamaduni za Kifaransa. Mapishi sana, kuvaa vizuri, mandhari mitaani, utulivu mida ya jioni huku wanapiga kahawa na vilevi kama cognacs, wine na champagne. Walikuwa na maisha flani ya kushawishi wataalii, tuseme uchukue Zanzibar alafu watu wawe wa uchumi wa kati tu na wastaarabu. Mwarabu akija anakuta vitu vyake, Mwafrika anakuta vyake na mzungu vilevile. Kila mmoja anatoshelezwa na anakuwa amazed na mchanganyiko.

Walivyokuja hao wajuaji wa Kipalestina wakaleta sheria zao, ikawa vigumu kuvumilia tamaduni nyingine, wakafanya imani iwe ya msimamo mkali. Wakaanzisha vita mara Hezbollah. Lebanon ikawa nchi maskini, ikakosa watalii, ikakosa investors.

Wapalestina waliua Waziri Mkuu wa Jordan, wakataka kumuua Mfalme wa Jordan, walihusika kumuua Rais wa Misri. Wakaribishe wazaliane, kaa miaka 20 uone kama utabaki na nchi.

Ni bora uwe na wakimbizi wa Syria ila kwa Wapalestina umejichanganya.
Mafilisti hayafai kabisa! Toka enzi na enzi ni shida.
 
Back
Top Bottom