Picha: Jinsi Lebanon kunawaka moto ya mabomu ya Israel

Usisahau na huku red sea bado haipitiki pamoja na mikwara yote ile ya mazayuni
 

Attachments

  • Screenshot_20240215-111213_Chrome.jpg
    434.8 KB · Views: 2
Kwa mwendo huu sidhani kama Israel itakuwa salama zaidi ya kuchochea chuki ya kudumu.
maana wanaua raia wasio na hatia hilo ndio tatizo.
Hao Hezbollah hukumbuki kwamba walinunua ugomvi?

Waliwashambulia Mayahudi bila hata kutukanwa yaani

Halafu uanze kusema hapo mwenye kosa ni Mwisrael?

Siyo kweli mkuu
 
Hao Hezbollah hukumbuki kwamba walinunua ugomvi?

Waliwashambulia Mayahudi bila hata kutukanwa yaani

Halafu uanze kusema hapo mwenye kosa ni Mwisrael?

Siyo kweli mkuu
Huu mnyukano sijui utaishia wapi.
 
Kwa mwendo huu sidhani kama Israel itakuwa salama zaidi ya kuchochea chuki ya kudumu.
maana wanaua raia wasio na hatia hilo ndio tatizo.
kwamfano na sisi hapa siku moja tukubaliwa kutawaliwa na kikundi chochote chenye mlengo wa ugaidi wazi kabisa kila wakizingua kipondo tunapata sisi ndio kinachowakumba lebanon na palestine halafu irani mchochez wao yeye anakula tu tende na maziwa ya ngamia
 
Mbona hata Americant katulia tu huko wanabarikiana nk wakati gaidi wao anateseka
 
Hivi Hezbollah huko Lebanon ni sawa na boko haram huko Nigeria na alshabab huko Somalia?
Hapana, Hizbullah haina ugaidi kama hao wahuni wengine, licha ya kuwa na tawi la kijeshi ila pia ni tawi la kisiasa lenye wawakilishi mpaka bungeni.
 
Kumbe ndiyo maana misri hataki kuwapokea anajua wataanzisha vikundi vyao vya kigaidi kuliberate palestinians utakuwa msala
 
Acha Israel awashugulikie tu maana hakuna namna nyingine!
Mimi nawashangaa wanao lia lia sijui cease fire cease fire cease fire. Hamas wenyew waliitaka hii vita ndo maana walijiandaa mda mrefu kwa kutengeneza mahandaki kakusanya RPG na risasi mwisho wa siku wakaenda kuvamia Israel. HIVYO HAMAS WAACHWE WAPIGANE MPAKA WASHINDE KULINGANA NA MIPANGO WALIOJIWEKEA MAANA WALITARAJIA ISRAEL ATALIPIZA. YAAAANI KISHERIA TUNASEMA " HAMAS WALI FORESEE AND DESIRED THE CONSEQUENCES"
 
Mafilisti hayafai kabisa! Toka enzi na enzi ni shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…