Picha: Jinsi Mengi alivyosherekea birthday ya Mapacha wake

Good family...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
so lovely
na vile napenda twins duh
 
Naipenda sana hii couple!!!!!!!! watoto wako do cute.
 
Good pamoja na ubusy wake wote lakini anakuwa na muda kuspend na familia
 
Daaamn...I got'ta get money! Kuzeeka na 'mutoto muzuri' hivyo by yourside rahaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…