Picha: Jinsi Mengi alivyosherekea birthday ya Mapacha wake

Picha: Jinsi Mengi alivyosherekea birthday ya Mapacha wake

former miss TZ jaqline ntuyabaliwe mkuu uko mbalisana nini hupati manews ya mujini

Kuna wakati nilisikiaga habari za mahusiano ya huyu dada na Mengi nikadhani ni mambo ya udaku kumbe ni kweli, ama kweli fedha kiboko ya njia. Afu mengi alivyopozi utadhani yuko sawa kiumri na Double G
 
ha ha ha ha ..yani hadi mwisho wa dunia ufike sie wengine tutakuwa tumekoma ubishi ahaha haya wale wa jukwaa la siasa twendeni tukaendelee kupigania nchi...ahahha
 
Kuna wakati nilisikiaga habari za mahusiano ya huyu dada na Mengi nikadhani ni mambo ya udaku kumbe ni kweli, ama kweli fedha kiboko ya njia. Afu mengi alivyopozi utadhani yuko sawa kiumri na Double G
hahahaa.. mwenyewe kakuvalia MODO..chezeaaa??? ati uzee mwisho chalinzeeeeeeeee
 
mwenye pesaaa mwenye pesaaaa sio mwenzioo!!!!!!!,
dah huu wimbo ningekuwa naujua ningeuandika wote.
 
Hahahahaha So wamekutana katikati?

hakyamama vile yani wamelinga eti!
ahahahahahahahahhahahhhahahha sijawahi kufikiri kuwa ile kitu ina nguvu kiasi hiki!
yani jackie kamove juu kidogo regie kashuka chini kidogo!
WAPO SAWA BIN HAKI!
we mwenyewe angalia!
 
Hongera baba wawili kwa kuweka mambo hadharani sio kama wengine wanaojifichaficha.
 
hakyamama vile yani wamelinga eti!
ahahahahahahahahhahahhhahahha sijawahi kufikiri kuwa ile kitu ina nguvu kiasi hiki!
yani jackie kamove juu kidogo regie kashuka chini kidogo!
WAPO SAWA BIN HAKI!
we mwenyewe angalia!
hahahaa.. bonge la analysis
 
size ya motie hiyo mzee kairithi. vijana msubili sub ya dk 90 naona mechi imewashinda
 
Daaamn...I got'ta get money! Kuzeeka na 'mutoto muzuri' hivyo by yourside rahaje!

Ni kweli...ila uweke sala mbele...ili hawa vijana a.k.a damu changa wakuachie muda wa kutosha kuinjoi...la sivyo wakijitokeza madogo "wakosa simile".....huwa hawana subira.......utasaidiwa mpaka basi.....wanakula TOP LAYER yote......utabaki kuambulia TINDI (kwa wale wala miwa wanajua maana ya tindi)
 
K-Lyn kuna watu wenye pesa zao (hata kama ni za sembe) na ni vijana walishafikia kumvisha pete...akawatosa...labda ameogopa changamoto za ndoa za vijana.
 
Back
Top Bottom