wapi check machali vizuri....walaaaaah demu kaukataLakini ni wa muzee kweli?,sio kuna kajamaa kamefunga goli na babu anasaidia kulea.
former miss TZ jaqline ntuyabaliwe mkuu uko mbalisana nini hupati manews ya mujini
hahahaa.. mwenyewe kakuvalia MODO..chezeaaa??? ati uzee mwisho chalinzeeeeeeeeeKuna wakati nilisikiaga habari za mahusiano ya huyu dada na Mengi nikadhani ni mambo ya udaku kumbe ni kweli, ama kweli fedha kiboko ya njia. Afu mengi alivyopozi utadhani yuko sawa kiumri na Double G
hahahaa.. mwenyewe kakuvalia MODO..chezeaaa??? ati uzee mwisho chalinzeeeeeeeee
Hahahahaha So wamekutana katikati?YANI ile kitu bana
ujue Jackline kawa mmama ghafla halafu Regie kawa brotherman ghafla tu!dah!
Daaamn...I got'ta get money! Kuzeeka na 'mutoto muzuri' hivyo by yourside rahaje!
Hahahahaha So wamekutana katikati?
hahahaa.. bonge la analysishakyamama vile yani wamelinga eti!
ahahahahahahahahhahahhhahahha sijawahi kufikiri kuwa ile kitu ina nguvu kiasi hiki!
yani jackie kamove juu kidogo regie kashuka chini kidogo!
WAPO SAWA BIN HAKI!
we mwenyewe angalia!
Daaamn...I got'ta get money! Kuzeeka na 'mutoto muzuri' hivyo by yourside rahaje!