House4Rent Picha:Jionee Mwenyewe Nyumba Hii Ilivyo

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,079
Reaction score
2,152
Ina vyumba vitatu, kimoja Ni master+choo cha public+Sebule+Dining Room+jiko+
+maji +fensi na Parking ya gari ndogo 5+luku inajitegemea

Ipo Kigamboni km 1 toka kwenye pantoni

Bei: Tsh. Laki 3.5 kwa mwezi (malipo miezi 6)

Dalali yangu ni mwezi mmoja

Mob:+255 718 295 182
--------------------------------
Bango

 
Nyumba ya laki 3.5 sijaiona, kajipange tena
 
Hawa jamaa mm nawapiga vita sana ndio wanasabababisha kodi za nyumba kuwa juu.Hapo usikute mwenye nyumba anataka laki 2.5 yeye anaongeza laki juu theni anataka tena kodi ya mwezi.
 
Madalali jipangeni sheria inakuja,mambo ya kuchukua kodi ya mwezi mmoja kama nyumba ulichangia kujenga,kwa kazi ya kuuza maneno tu yatakwisha
Tutaendelea kufata sheria mkuu, hakuna tatizo

Bango
 
Hawa jamaa mm nawapiga vita sana ndio wanasabababisha kodi za nyumba kuwa juu.Hapo usikute mwenye nyumba anataka laki 2.5 yeye anaongeza laki juu theni anataka tena kodi ya mwezi.
Wenye nyumba ndio wenye maamuzi ya mwisho ya bei anayotaka kupangisha nyumba yake, kama umekutana na tatizo hilo pole sana mkuu, ulikutana na tapeli!

Bango
 
Siwapagi hiyo hela hata watambike.
Mkuu kama Umenitafuta na umepata nyumba kupitia mimi na Tukaelewana kwa kazi ya udalali, basi unastahiri kunipa hela yangu sawa na taratibu zangu!

Bango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…