PICHA: Jommo Kenyata, Daniel Arap Moi na Uhuru Kenyata

PICHA: Jommo Kenyata, Daniel Arap Moi na Uhuru Kenyata

Kibaki hayupo kwenye picha hiyo! Huyo hapo si Kibaki ni Charles Njonjo, aliyekuwa A.G enzi hizo na wala si wa ukoo moja na Kenyatta! Moi hapo alikuwa kaimu rais na hana ukoo wowote na Kenyatta. Ako hapo kikazi. Hapo mi naona tu Mzee anayejaribu kumfunza mtoto wake wa kiume kuwa mwanaume hasa ni nini! Hilo ni jukumu la kila mwanaume kwa mtoto wake wa kiume! Tafta hoja nyingine bana!
 
Kibaki hayupo kwenye picha hiyo! Huyo hapo si kibaki ni Charles Njonjo, aliyekuwa A.G wa zamani na si wa ukoo moja na Kenyatta! Moi hapo alikuwa kaimu rais na hana ukoo wowote na Kenyatta. Ako hapo kikazi. Hapo mi naona tu Mzee anayejaribu kumfunza mtoto wake wa kiume kuwa mwanaume hasa ni nini! Hilo ni jukumu la kila mwanaume kwa mtoto wake wa kiume! Tafta hoja nyingine!
Arap Moi kabila ghani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikutaka kukurekebisha isionekane eti ni ujuaji, lakini hamna namna! Ni Jomo, si Jommo afu hapo kwa Kenyata ndo unatia kinyaa, hilo ulifanya makusudi nini? Afu pia unataka kusema hukuona kuwa Kibaki hayupo kwenye picha hiyo? We jamaa bana!
 
Back
Top Bottom