PICHA: Jommo Kenyata, Daniel Arap Moi na Uhuru Kenyata

Kibaki hayupo kwenye picha hiyo! Huyo hapo si Kibaki ni Charles Njonjo, aliyekuwa A.G enzi hizo na wala si wa ukoo moja na Kenyatta! Moi hapo alikuwa kaimu rais na hana ukoo wowote na Kenyatta. Ako hapo kikazi. Hapo mi naona tu Mzee anayejaribu kumfunza mtoto wake wa kiume kuwa mwanaume hasa ni nini! Hilo ni jukumu la kila mwanaume kwa mtoto wake wa kiume! Tafta hoja nyingine bana!
 
Arap Moi kabila ghani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moi ni mkale (tugen)....kutoka kabartonjo,Baringo county.
 
Sikutaka kukurekebisha isionekane eti ni ujuaji, lakini hamna namna! Ni Jomo, si Jommo afu hapo kwa Kenyata ndo unatia kinyaa, hilo ulifanya makusudi nini? Afu pia unataka kusema hukuona kuwa Kibaki hayupo kwenye picha hiyo? We jamaa bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…