Picha: Julius Nyerere akimvisha Medali Jenerali Ulimwengu

Hebu ongeza sauti tafadhali.
 
Reactions: Qwy
Yeah, hakujua! Tanzania tuna tabia ya kuwaamini watu tukidhani ni wema kama sisi. Huyu siyo Mtanzania jameni anzieni kwenye jina lake. Hata Njelu Kasaka hakujua G55 alidhani ni mwenzao kumbe vurugaji.
Bora kuwa na mgeni mzalendo kuliko kuw na raia zuzu kama spika mbovu
 
"Atake asitake" legacy nukuu za aibu kwa taifa letu tuliwahi kuwa na mfumo duni watu wa ajabu kupenya nafasi za juu uongozi.
 
Yeah, hakujua! Tanzania tuna tabia ya kuwaamini watu tukidhani ni wema kama sisi. Huyu siyo Mtanzania jameni anzieni kwenye jina lake. Hata Njelu Kasaka hakujua G55 alidhani ni mwenzao kumbe vurugaji.
Kwa hiyo Kibu Dennis si Mtanzania ?!!! 😳😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…