Picha; Juma nature kanchekesha saana na hii.

Picha; Juma nature kanchekesha saana na hii.

Vida1

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2019
Posts
538
Reaction score
1,539
Maisha yanaenda kasi mno kwetu sote. Eti imefikia hatua juma nature analilia collabo hadharani na Rayvanny.
Soma hiyo comment ya nature hapo kwenye picha kaamua kumwaga ugali anamwambia Rayvanny amchane kama wanafanya collabo au lah! Nature amechoka kupangwa na Vannyboy ambae wakati nature anahit, Vanny alikuwa mbeya anauza vibagia vya mwalimu darasani.
Screenshot_2019-08-05-16-37-08.jpg
 
Game limechange sana mzee baba. Hawa madogo (WCB) wamekuta wakina Nature wameshaandaa mazingira. Kumbuka Muziki ulikua unachukuliwa kama uhuni ila wakina Nature na wahasisi wengine wakaindoa iyo dhana kwa wazee.

Nature zamani alikua akitoa wimbo wowote lazima umkubali. Ni kwasababu ya nyakati zile. Ila sahivi akitoa wimbo hawezi hit kwakua zama zake zimeisha, mambo yamechange. Ndio maana anakomaa na hiyo collabo (kama ni kweli au anatania tu).

Ila yote 9, 10 Juma Nature anastahili heshima flani (recognition) katika huu music. Yeye aliwasaidia wasanii wengi sana TMK Family, kama Mondi tu alivowasaidia WCB.

Kila kitu kina wakati wake. Itafika kipindi ata hao wakina Raymond wataomba collabo na madogo flani miaka ijayo.
 
Kwahiyo KIROBOTO hana namba ya rayvan?
Namba anayo sema Rayvanny hapokei yuko bize, kwahiyo ameweka comment ili mashabiki tumsaidie kumbembeleza Rayvanny [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Maisha yanaenda kasi mno kwetu sote. Eti imefikia hatua juma nature analilia collabo hadharani na Rayvanny.
Soma hiyo comment ya nature hapo kwenye picha kaamua kumwaga ugali anamwambia Rayvanny amchane kama wanafanya collabo au lah! Nature amechoka kupangwa na Vannyboy ambae wakati nature anahit, Vanny alikuwa mbeya anauza vibagia vya mwalimu darasani.View attachment 1174961
Inawezekana dogo ndio kaomba collab na nature kwa mujibu wa hyo comment ya nature
 
Amesahau hata yeye alikuwa anasumbua wenzie kwny collabo enzi zake
Namba anayo sema Rayvanny hapokei yuko bize, kwahiyo ameweka comment ili mashabiki tumsaidie kumbembeleza Rayvanny [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mamaeeeeeee Pilato na Gemu.........Nature afanye issue nyingine muziki ushamshinda.
 
ZAMA ZIMEBADILIKA, YAANI INGETAKIWA RAYVANNY NDIO AOMBE KOLABO NA SIR NATURE ILA NI TOFAUTI
 
Back
Top Bottom