Vida1
JF-Expert Member
- Jul 6, 2019
- 538
- 1,539
Maisha yanaenda kasi mno kwetu sote. Eti imefikia hatua juma nature analilia collabo hadharani na Rayvanny.
Soma hiyo comment ya nature hapo kwenye picha kaamua kumwaga ugali anamwambia Rayvanny amchane kama wanafanya collabo au lah! Nature amechoka kupangwa na Vannyboy ambae wakati nature anahit, Vanny alikuwa mbeya anauza vibagia vya mwalimu darasani.