Namba anayo sema Rayvanny hapokei yuko bize, kwahiyo ameweka comment ili mashabiki tumsaidie kumbembeleza Rayvanny [emoji1][emoji1][emoji1]Kwahiyo KIROBOTO hana namba ya rayvan?
Inawezekana dogo ndio kaomba collab na nature kwa mujibu wa hyo comment ya natureMaisha yanaenda kasi mno kwetu sote. Eti imefikia hatua juma nature analilia collabo hadharani na Rayvanny.
Soma hiyo comment ya nature hapo kwenye picha kaamua kumwaga ugali anamwambia Rayvanny amchane kama wanafanya collabo au lah! Nature amechoka kupangwa na Vannyboy ambae wakati nature anahit, Vanny alikuwa mbeya anauza vibagia vya mwalimu darasani.View attachment 1174961
Namba anayo sema Rayvanny hapokei yuko bize, kwahiyo ameweka comment ili mashabiki tumsaidie kumbembeleza Rayvanny [emoji1][emoji1][emoji1]