Then with the fact that you attain so much pride in being a gossiper regardless of the consequences to the people your are spreading the malicious lies about clearly depicts your true mental state, a pure sadist. Getting pleasure in other people's miseries.Umekosea sijawah Kuwa bullied shoga angu , mie umbea nimeanza kuwa nao Toka utotoni ndio maana
asee sioo wotee ...ila kama kuna kaukweliii
Ngoja Juma Nature akusikie [emoji1550][emoji1550][emoji23][emoji23][emoji23]
Then with the fact that you attain so much pride in being a gossiper regardless of the consequences to the people your are spreading the malicious lies about clearly depicts your true mental state, a pure sadist. Getting pleasure in other people's miseries.
Ulishawahi kuwaza kuwa mengi ya unayosema katika jina la umbea hayana athari kwa wahusika pekee, bali ndugu na jamaa zao pia? Anyways to each their own. Kila la heri mama.
and your comment has confirmed all that I have written. I rest my caseYou are messing with a wrong bitch, don't even try me you Moron , if you are not interested in whatever I post , the door is wide open, I never called or tagged anyone to read my contents, it's because you love gossip that's why you are here .
Niondolee upuuzi wako , Mimi ndo niliyewatuma wafanye ujinga wanaofanya, wanajidhalilisha wenyewe
The pride of ArushaKwetu pazuriView attachment 1094017
Kweli mkuu..mtu hawezi kuwa na akili timamu alafu kila siku akiamka anawaza kuchafua wenzake...hajui na wenzake wana hisia kama yeyeMara nyingi fikra za watu kama hawa huishia kwenye kuwaza zile sifa anazopata mitandaoni. hajali athari anayopata muhusika. Na ukichunguza zaidi utakuta ma cyber bully wengi ni matokeo ya watoto ambao walikuwa bullied sana katika makuzi yao, waliokuwa katika mazingira duni mno ama wale ambao walitengwa sana utotoni na watoto wenzao. Hii attention anayopata mitandaoni inampa ile sense of importance ambayo aliitamani toka akiwa mdogo.
Huyo ni shoga ndiyomaana akisikia mtu kasafiri tu kwenda nje ya nchi anamuita shoga.Mkuu hivi unapata faida gani kuchafua brand za watu...fikiria ingekuwa wewe or ndugu yako anachafuliwa hivi ungejiskiaje
Natamani kumuona huyu mwanamke mwenye huu mkono walahKwetu pazuriView attachment 1094017
ila kweli alooo ata mi cjielewi elewi...yan nna tabiaa mbaya mbaya..mdada akinizoea namtongoza😂😂Hahahahhh we jifatilie hata wewe😂😂😂
ila kweli alooo ata mi cjielewi elewi...yan nna tabiaa mbaya mbaya..mdada akinizoea namtongoza😂😂
kabisaa yani cjui nikoje...yani bora uniogope tuHebu nikae mbali nisije nikakuzoea bure😂😂😂
Nimekazana kuua hako ka mdudu kumbe ni avatorKwani humu JamiiForums kuna ajenda gani juu ya ushoga naona kila mtu maarufu anapakaziwa kuwa shoga.
Juma sharobaroUkishaita mwanao jina la Juma jiandae kwa lolote manake hutajua siku wala saa
Ha ha ha ha ,,,,,wanamuita juma mpembaasee sioo wotee ...ila kama kuna kaukweliii
Juma sharobaro
Juma lokole
Juma jux
Juma......
Ivi kapuya nae ni juma??????
Nduki kaliiiii
Usho...ga ni ule ule tu ukianzia ukubwan ukianzia utoton wote watakuwa machokoJuma sharobaro hilo kajipachika tu,ana jina lake la kichina
Hahaha kapuya nae Juma