Picha: Jux akwaa Scandal ya Ushoga

Picha: Jux akwaa Scandal ya Ushoga

Huyu Kaka alikuaga mpole mwenyewe sijui shetani gani kampitia, Na si alikua anajiita Sukari ya warembo huyu, ndio maana siku hizi kila wakati wanagombana na V kwa sababu zisizokua na msingi kumbe mwenyewe jux yuko busy na boys Hana habari.

Mi Ndo maana wanaume Ma handsome siwataki kabisa, bora niwe na mwanaume mwenye sura kama harmonize lakini najua pesa zipo Ila sio hawa wanajifanya watanashati Mara sukari ya warembo kumbe mambo yao wanajua wenyewe.

Jux mwenyewe yuko busy anaongea kwenye video call na mwaume mwenzie, meno yote nje mxieew , halafu Vanessa akimpgia simu siku nzima hapokei kumbe mwenzie yuko busy na vitoto vya watu.

Hapa Ndo naona kwa nini akina k-lyn wanakimbilia kuolewa na waxed na sio hawa masharobaro ambao wangekua wanaibiana mabwana.


Ila Yule slay queen mashauzi kanichekesha, anachepuka na ng'ast kumbe ng'ast mwenyewe na yeye anatoka na sponsor wa slay queen , khaa hili jiji Lina joto bora mvua zianze

View attachment 1093994View attachment 1093995
ww warumi ukiwa mwanaume basi utakuwa ndo huyu anaeongea na jux, maana c kwa umbea huo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Napata wapi hiyo video na mimi nisikie kizungumzwacho
 
Mara nyingi fikra za watu kama hawa huishia kwenye kuwaza zile sifa anazopata mitandaoni. hajali athari anayopata muhusika. Na ukichunguza zaidi utakuta ma cyber bully wengi ni matokeo ya watoto ambao walikuwa bullied sana katika makuzi yao, waliokuwa katika mazingira duni mno ama wale ambao walitengwa sana utotoni na watoto wenzao. Hii attention anayopata mitandaoni inampa ile sense of importance ambayo aliitamani toka akiwa mdogo.
Ndugu umesema ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom