warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mke halali wa mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald mengi, jackline ntuyabaliwe aka k -lyn ,ameanza kuonyesha baadhi ya mali anazomiliki, ikiwemo duka la nguo la kifahari (pichani ) lililopo nchini Dubai.
Hivi karibuni watu wanaosemekana kuwa ni maadui wa mwanamama huyo mwenye title ya u bosslady kwa sasa, walimponda msanii huyo kuwa hana lolote apa mjini zaidi ya kumtegemea mumewe ambaye ndiye anayemuweka mjini kwa sasa star huyo.
Inasemekana pia msanii huyo anamiliki mali nyingi na za kutisha ukilinganisha na umri wake mdogo, na amekuwa akifanya siri kuogopa maadui zake kumuandana.
Hata hivyo baadhi ya wadau wamemtaka staa huyo kutoendelea kuonyesha mali anazomiliki kwani kufanya hivyo ni kujiongezea maadui wasiopenda mafanikio yake.