Picha: K-lynn aanza kuonyesha jeuri ya fedha

Ebu nitoe tongo tongo mie? Kumbe sio lake? Maana ndio umbea unaonea mujini duka la k lyn dubai kha, nibngekua na mfadhili ningeenda dubai kwa kweli kukamilisha umbea

haaaaaaaa sio lake wala nini binamu..... mi nitakuchangia binamu ka waenda Dubai
Ila binamu umbea wako wote ila mimba ya Hamisa hukuidaka habari
 
Nilisikiaga binamu ila sikuwa na uhakika, kuna staa alipost insta kumpongeza kuamua kuzaa, badae akafuta sikutilia maanani
 
Ebu nitoe tongo tongo mie? Kumbe sio lake? Maana ndio umbea unaonea mujini duka la k lyn dubai kha, nibngekua na mfadhili ningeenda dubai kwa kweli kukamilisha umbea

Na wewe umezidi kuropoka,ila usijali kuumbuliwa ni sehemu ya umbea.
 
Kuumbuliwa na kuchambwa kama ivi, yani leo nimeaibikaje? Sura imenshuka apa kama pumb * za mbwa
 
Yani binamu naona roho ilivyokutoka umeshukuru mungu sio duka lake, ila bado bibie ana asset za kueleweka mujini apa sio level za akina mwafulani

ana assets gani hapa mjini labda?
 
Kuumbuliwa na kuchambwa kama ivi, yani leo nimeaibikaje? Sura imenshuka apa kama pumb * za mbwa

Binamu mie unanifurahishaga sana yaani nazidi kukulove daily.
Ukikosea wala hata huwa haubishi aiseee!
Live long warumi (ila nimechekajeee!!!)
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wengi huwa hawasomi. Wao ni watu wa skendo skendo tu na manenoya juu juu
 
Back
Top Bottom