Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ebu nitoe tongo tongo mie? Kumbe sio lake? Maana ndio umbea unaonea mujini duka la k lyn dubai kha, nibngekua na mfadhili ningeenda dubai kwa kweli kukamilisha umbea
haaaaaaaa sio lake wala nini binamu..... mi nitakuchangia binamu ka waenda Dubai
Ila binamu umbea wako wote ila mimba ya Hamisa hukuidaka habari
Ebu nitoe tongo tongo mie? Kumbe sio lake? Maana ndio umbea unaonea mujini duka la k lyn dubai kha, nibngekua na mfadhili ningeenda dubai kwa kweli kukamilisha umbea
Yani binamu naona roho ilivyokutoka umeshukuru mungu sio duka lake, ila bado bibie ana asset za kueleweka mujini apa sio level za akina mwafulani
Hilo Duka wala sio lake....... ye kapost maybe jina lake
linaendana na jina na hilo duka . Duka limeanzishwa miaka ya 1980's
huko... soma hapa kwa undani zaidi binamu
K-Lynn is an undercover business | The National
Kwani huwezi kununua biashara ya mtu
AHahahh hahha kha yamenikuta, mwaka huu nisipoenda jela sijui maana sio kwa umbea huu kwa kweli, mpaka nimwjiogopa
acha kutuchuza dogoSi hilo duka la k lyn lipo dubai au hujaona
Kuumbuliwa na kuchambwa kama ivi, yani leo nimeaibikaje? Sura imenshuka apa kama pumb * za mbwa
Habar ndo hyo
Hapo umenifurahisha sana!
Kweli mwenzangu ajali kazini, maana sio aibu hii
Kuumbuliwa na kuchambwa kama ivi, yani leo nimeaibikaje? Sura imenshuka apa kama pumb * za mbwa