Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mila za kichaga kaburi huchimbwa siku ya mazishi; kama mazishi ni Jumatatu, uchagani kaburi litaanza baada ya saa sita usiku Jumapili.
Hehe sasa we ulitaka wamkaushe wakamuweke pale mjengoni sio?Hv kweli wanamzika dah....
Kaburi halilali njaa
Hilo mbona lipo dhahiri katika maisha haya ya kidunia,kwani ulikuwa na shaka yoyote juu ya hilio mkuu!?.
Wala sina shakaHilo mbona lipo dhahiri katika maisha haya ya kidunia,kwani ulikuwa na shaka yoyote juu ya hilio mkuu!?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechangia sh ngapi ndio unaionea uchungu hivyoHivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
No naona kama jamaa yupo sehemu...ataibuka any time soon
Tupe madhara ya kaburi kulala na njaaKaburi halilali njaa
Jr[emoji769]
Mali, magari kila kitu ana acha hapa duniani