Picha: Kaburi la Ruge laanza kuchimbwa huko kijijini kwao Bukoba

Mila za kichaga kaburi huchimbwa siku ya mazishi; kama mazishi ni Jumatatu, uchagani kaburi litaanza baada ya saa sita usiku Jumapili.
Uchagani mpaka watu wauone mwili , ikitokea imeahirishwa wanazika mgomba la sivyo inaweza pelekea mauti nyingine kutoka kwenye hiyo familia

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Una umri gani?.mbona unauliza vitu vya wazi?

Msiba saivi upo Dar au Bk?
Nyumba ya Ruge aliokua anaishi iko Dar au Bk?
Company yake na wanafamilia wako Dar au Bk?
Kwa hadhi ya Ruge kijamii nahisi ataagwa Leaders pale
 
Binadamu unawajua au unawasikia? [emoji2][emoji2]
 
Una umri gani?.mbona unauliza vitu vya wazi?

Msiba saivi upo Dar au Bk?
Nyumba ya Ruge aliokua anaishi iko Dar au Bk?
Company yake na wanafamilia wako Dar au Bk?
Kwa hadhi ya Ruge kijamii nahisi ataagwa Leaders pale
Karimjee Hall labda imebadilishwa

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Mpaka sasa sijaona tusi.

Watu mmeonyeshwa picha ya kaburi mmekua waungwana..tuwe waungwana Siku zote..

Kifo ni kiboko ya mwanadamu,
R.I.P bro Ruge...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nyerere hakupelekwa butiama moja kwa moja. Hujachangia chochote huna undugu nae kaa kimya hayakuhusu
Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
 
pic rugez.jpg
 
Tatzo hakuna bt Ni suala la kutoa fursa ya kuaga mwili wake. Kwa majirani zake ,wafanya kazi wenzake pamoja wadau wengine maana jamaa ameishi Dar muda mrefu na itakuwa syo poa kuupelekeka mwili direct BK huku ukiacha kundi kubwa la watu Dar,Alafu si unajua BUKOBA syo Kama Moro au Tanga Ni zaidi ya KM 1000 unachezea lami hvyo itakuwa ngumu Kwa wadau kwenda huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom