dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchagani mpaka watu wauone mwili , ikitokea imeahirishwa wanazika mgomba la sivyo inaweza pelekea mauti nyingine kutoka kwenye hiyo familiaMila za kichaga kaburi huchimbwa siku ya mazishi; kama mazishi ni Jumatatu, uchagani kaburi litaanza baada ya saa sita usiku Jumapili.
Haha hivi tupac alishaibuka?No naona kama jamaa yupo sehemu...ataibuka any time soon
Una umri gani?.mbona unauliza vitu vya wazi?Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Wahaya bwana kwa hiyo makaburi ya zamani yamepakwa rangi upya baada ya Ruge kufariki.---View attachment 1034492View attachment 1034493View attachment 1034494
Sent from my Iphone using Tapatalk
Nimeshangaaa mtu anazikwa jumatatu kaburi kuchimbwa Leo!!!!?Kaburi halilali njaa
Jr[emoji769]
Hahaha hivyo Yesu naye alipofariki alienda kuzimu akarudi?! Maana naye alizikwa au kaburi lake halikuwa lango la kuzimu?!
Binadamu unawajua au unawasikia? [emoji2][emoji2]Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Mr bongolalaHivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Karimjee Hall labda imebadilishwaUna umri gani?.mbona unauliza vitu vya wazi?
Msiba saivi upo Dar au Bk?
Nyumba ya Ruge aliokua anaishi iko Dar au Bk?
Company yake na wanafamilia wako Dar au Bk?
Kwa hadhi ya Ruge kijamii nahisi ataagwa Leaders pale
.... Akafa.. Akazikwa.... Akashuka kuzimu....!Hahaha hivyo Yesu naye alipofariki alienda kuzimu akarudi?! Maana naye alizikwa au kaburi laki halikuwa lango la kuzimu?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Ruge alikuwa tunu ya taifa.Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Tatzo hakuna bt Ni suala la kutoa fursa ya kuaga mwili wake. Kwa majirani zake ,wafanya kazi wenzake pamoja wadau wengine maana jamaa ameishi Dar muda mrefu na itakuwa syo poa kuupelekeka mwili direct BK huku ukiacha kundi kubwa la watu Dar,Alafu si unajua BUKOBA syo Kama Moro au Tanga Ni zaidi ya KM 1000 unachezea lami hvyo itakuwa ngumu Kwa wadau kwenda huko.Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Aione jiweNdio kiburi cha mwanadamu kinapoishia hata uwe kama tofali au Jiwe shimo linatuusu. Hapo uwa na furahi wanaoshangilia wenzao kuonewa wakijua watabaki Duniani milele RIP kaka Ruge umetutangulia tu