Picha: Kaburi la Ruge laanza kuchimbwa huko kijijini kwao Bukoba

Ujenzi ukiendelea
51984979_2320570234673147_8134594547691065199_n(1).jpg
 
Kwa hiyo watu wa kijijini ulipozaliwa au wazazi wako ni wakupelekewa misiba tuu kuzika?
Kwani wazazi wake wake wap.na je alizaliwa wap? Kumbuka wazazi wake wapo huko mikocheni dar,na yeye amezaliwa marekani na kukulia dar fuatilia wasifu wake.huko kuzikwa bukoba ni utamaduni Tu WA wahaya kuzikwa kwenye makaburi ya ukoo au chimbuko la ukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamenifurahisha sana wazazi wa Ruge. Sio kama mama Kanumba. Badala ya mtoto wake kwenda kumzika Shinyanga kwao na ndipo alipo baba yake, au nyumbani kwao huyo mama Bukoba, akazidiwa ujanja na akina Stive Nyerere, na kuamua kumzika Daaaaar!
 
Tamaduni za wahaya wanazika nyumbani kwenye shamba la familia, kwa hyo wazazi wa Ruge wamefuata tamaduni zilivyo
 
Back
Top Bottom