M/Mungu anatisha sana.
Hata uhayani wanaweka magogo au migomba juu kabla hajazikwa mtuLa Yesu halikuwa kaburi la kuchimbwa bali lilikuwa Pango!! Mapango yapo tu wazi ila baada ya kuzikwa walisukumia jiwe zito mlangoni ili asiibwe!!
Sio uwanja wa kimataifa Ila ni airport sio airstrip kama inavyozaniHahaaa nilikuwa Nawaza kuiona Emirates ikitua Bukoba air strip!!
Kwani wazazi wake wake wap.na je alizaliwa wap? Kumbuka wazazi wake wapo huko mikocheni dar,na yeye amezaliwa marekani na kukulia dar fuatilia wasifu wake.huko kuzikwa bukoba ni utamaduni Tu WA wahaya kuzikwa kwenye makaburi ya ukoo au chimbuko la ukooKwa hiyo watu wa kijijini ulipozaliwa au wazazi wako ni wakupelekewa misiba tuu kuzika?
Mila nyingi ziko hvyo wanasema kaburi halilali waziMila za kichaga kaburi huchimbwa siku ya mazishi; kama mazishi ni Jumatatu, uchagani kaburi litaanza baada ya saa sita usiku Jumapili.
Dar ndo kila kitu kwanzaaaaa!na ndo Tanzania huko kwenu mkoaniHivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Maiti za kikiristo zina kazi sana mnoo angekuwa muislam angezikwa hukoo hukoHivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
amina
amina
amina
Jiwe kwani ni nani
Wamenifurahisha sana wazazi wa Ruge. Sio kama mama Kanumba. Badala ya mtoto wake kwenda kumzika Shinyanga kwao na ndipo alipo baba yake, au nyumbani kwao huyo mama Bukoba, akazidiwa ujanja na akina Stive Nyerere, na kuamua kumzika Daaaaar!Kwani wazazi wake wake wap.na je alizaliwa wap? Kumbuka wazazi wake wapo huko mikocheni dar,na yeye amezaliwa marekani na kukulia dar fuatilia wasifu wake.huko kuzikwa bukoba ni utamaduni Tu WA wahaya kuzikwa kwenye makaburi ya ukoo au chimbuko la ukoo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]na kweli anayedumu ni msiba pekeeDuniani tuwe na kiasi mtu pekee ambaye anaweza asife ni huyu bwana MSIBA mana yeye watasema msiba wa msiba wakati msiba utaendelea kudumu
Mkuu huo sio Ukristo bali ni mila za wahaya kuzika nyumbani kwenye shambaMaiti za kikiristo zina kazi sana mnoo angekuwa muislam angezikwa hukoo huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Tamaduni za wahaya wanazika nyumbani kwenye shamba la familia, kwa hyo wazazi wa Ruge wamefuata tamaduni zilivyoWamenifurahisha sana wazazi wa Ruge. Sio kama mama Kanumba. Badala ya mtoto wake kwenda kumzika Shinyanga kwao na ndipo alipo baba yake, au nyumbani kwao huyo mama Bukoba, akazidiwa ujanja na akina Stive Nyerere, na kuamua kumzika Daaaaar!