Picha: Kada wa CCM na sheikh anayefurahia Watanzania watekwe na kuuwawa ili kulinda Amani ya nchi

Picha: Kada wa CCM na sheikh anayefurahia Watanzania watekwe na kuuwawa ili kulinda Amani ya nchi

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Ndio kusema hajui kama kuna Mahakama? Amependekiza watu wakatwe vichwa ili amani iendelee kuwepo
👇
IMG_20250705_214722_259.jpg
 
Nje ya mada

Hivi nikimpa mdada mimba afu nikamuomba msamaha bado ile mimba itakuwa yangu?

Msinifokee sina bima
 
SHEKHE MOHAMED ABDALLAH MAWANDA: "KUWACHINJA WATU WANAOIKOSOA SERIKALI NI MBINU YA KUTUNZA AMANI"
1752035930028.png




IMG-20250702-WA0128.jpg

Shekhe Mohamed Abdallah Mawanda (kulia) ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani, mkoani Dar es Salaam.

Akiwa katika altare ya Kanisa la Arise and Shine, eneo la Kawe, huko Mwenge, mkoani Dar es Salaam, meongea maneno yafuatayo:

"Nchi yetu ni ya sheria. Ndugu zanguni, tufike mahali wote, wote, wote mlioko humu, mlioko majumbani, popote ulipo, usifanye masihara na amani ya nchi yetu. Acha mtu akate kichwa chako lakini nchi hii ibaki salama."

Kauli hii ni tata na imefuta kabisa maana nzima ta tukio la leo pale Mwenge kwa ajili ya kuzindua Kanisa la Mwamposa.

Ni kauli inayothibitisha tuhuma za siku nyingi kwamba baadhi ya viongozi wa dini watu wasio amini katika misingi ya katiba ya nchi inayosema kuwa haki ya kuishi ni haki isiyopaswa kutomaswa na mtu yeyote, ikiwemo serikali.

Wanaunga mkono maneno ya mwisho ya hayati Phares Kabuye bungeni:

Kwamba jogoo anayekunya anapolala huwaambukiza vifaranga wake tabia mbaya ya kunya mahali wanapolala.

Screenshot_20250705_232339_Chrome.jpg

Hayati Phares Kabuye​

Kwa hakika Salman Rushidie alikuwa sahihi alipoandika kitabu kupinga aya za kishetani (SATANIC VERSES) kuenselea kuwa sehemu ya mafundisho ya dini ya KIISLAMU.

Namwalika Msajili wa vyama vya kijamii kufuta mara moja Kanisa la Mwampisa kwa sababu hii.

Screenshot_20250705_230505_Chrome.jpg

1751972678853.png

1751972694500.png

1751972708471.png

1751972721344.png

1751972733551.png


Kitabu chenyewe kimeambatanishwa hapa chini:


 

Attachments

Hao anawashabikia siku wakimgeuka wakamtuhumu kwa ugaidi ndio atajua umuhimu wa utawala wa sheria.
 
MWAMPOSA AMEKIUKA MASHARTI YA USAJILI WA KANISA LAKE KWA KURUHUSU MADHABAHU YA KANISA KUTUMIWA NA SHEKHE KUFANYA SIASA ZA UMWAGAJI DAMU TENA MBELE YA RAIS SAMIA

View attachment 3395351

Kauli hii imefuta kabisa maana nzima ta tukio la leo pale Mwenge kwa Mwamposa.

Inathibutisha tuhuma kwamba tunao viongozi wakuu wasio amini katika katiba ya nchi inayosema haki ya kuishi ni haki isiyopaswa kutomaswa na serikali.

Wanaunga mkono maneno ya mwisho ya hayati Phares Kabuye bungeni.

Kwamba jogoo anayekunya anapolala huwaambukiza vufaranga tabia mbaya ya kunya mahali wanapolala.

View attachment 3395352
Hayati Phares Kabuye

Kwa hakika Salman Rushidie alikuwa sahihi alipoandika kitabu kupinga aya za kishetani (SATANIC VERSES) kuenselea kuwa sehemu ya mafundisho ya dini ya KIISLAMU.

Namwalika Msajili wa vyama vya kijamii kufuta mara moja Kanisa la Mwampisa kwa sababu hii.

View attachment 3395344
Unamualika Kidampa, kada wa CCM anayevaa suit ya Msajili wa vyama vya kijamii?
 
Back
Top Bottom