Picha: Kada wa CCM na sheikh anayefurahia Watanzania watekwe na kuuwawa ili kulinda Amani ya nchi

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Ndio kusema hajui kama kuna Mahakama? Amependekiza watu wakatwe vichwa ili amani iendelee kuwepo
πŸ‘‡
 
Nje ya mada

Hivi nikimpa mdada mimba afu nikamuomba msamaha bado ile mimba itakuwa yangu?

Msinifokee sina bima
 
SHEKHE MOHAMED ABDALLAH MAWANDA: "KUWACHINJA WATU WANAOIKOSOA SERIKALI NI MBINU YA KUTUNZA AMANI"


Your browser is not able to display this video.


​

Shekhe Mohamed Abdallah Mawanda (kulia) ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani, mkoani Dar es Salaam.

Akiwa katika altare ya Kanisa la Arise and Shine, eneo la Kawe, huko Mwenge, mkoani Dar es Salaam, meongea maneno yafuatayo:

"Nchi yetu ni ya sheria. Ndugu zanguni, tufike mahali wote, wote, wote mlioko humu, mlioko majumbani, popote ulipo, usifanye masihara na amani ya nchi yetu. Acha mtu akate kichwa chako lakini nchi hii ibaki salama."

Kauli hii ni tata na imefuta kabisa maana nzima ta tukio la leo pale Mwenge kwa ajili ya kuzindua Kanisa la Mwamposa.

Ni kauli inayothibitisha tuhuma za siku nyingi kwamba baadhi ya viongozi wa dini watu wasio amini katika misingi ya katiba ya nchi inayosema kuwa haki ya kuishi ni haki isiyopaswa kutomaswa na mtu yeyote, ikiwemo serikali.

Wanaunga mkono maneno ya mwisho ya hayati Phares Kabuye bungeni:

Kwamba jogoo anayekunya anapolala huwaambukiza vifaranga wake tabia mbaya ya kunya mahali wanapolala.


Hayati Phares Kabuye​

Kwa hakika Salman Rushidie alikuwa sahihi alipoandika kitabu kupinga aya za kishetani (SATANIC VERSES) kuenselea kuwa sehemu ya mafundisho ya dini ya KIISLAMU.

Namwalika Msajili wa vyama vya kijamii kufuta mara moja Kanisa la Mwampisa kwa sababu hii.








Kitabu chenyewe kimeambatanishwa hapa chini:


Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

Hao anawashabikia siku wakimgeuka wakamtuhumu kwa ugaidi ndio atajua umuhimu wa utawala wa sheria.
 
Unamualika Kidampa, kada wa CCM anayevaa suit ya Msajili wa vyama vya kijamii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…