PreGE2025 PICHA: Kada wa CHADEMA Upendo Kileo ateswa na kutupwa Msituni baada ya kufuatilia Kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna kakundi mtandao kameandaliwa JF kupambana na wapenda haki angalia join zao ni 2023 na kuendelea na vyote vinatemashit kwa ujira mdogo
 
watu ambao familia zao ziko ng'ambo mbona wengi tu gentleman na wapo humu nchini wakijifanya wana uchungu kinafiki tu ?

kwamba huwajui au?🐒
Kufurahia vifo vya watu wasio hatia ni hatua muhimu sana kwa kila mwana ccm lakin furaha yako itajibiwa soon pia
 
Mbona mabaka mabaka ya rangi za kupaka,mateso yote hayo akuna sehemu kwenye mwili amepasuka anatoka damu?
 
Kufurahia vifo vya watu wasio hatia ni hatua muhimu sana kwa kila mwana ccm lakin furaha yako itajibiwa soon pia
Gentleman,
inamaa hujui kwamba kuishi ni Kristo na kufa ni Faida?

fuahamu na kufuatilia mambo bila mihemko itakusaiadia sana 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…