Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Watu kama waoga na kutia huruma balaa!Mnasikia burdan kuwatesa wenzenu naona roho yako iko kwatu
Ova
Watu kama waoga na kutia huruma balaa!Mnasikia burdan kuwatesa wenzenu naona roho yako iko kwatu
Ova
Waliambiwa wasilete vurugu mahakamaniSamia amekuwa muuaji!
Nilikua naheshimu I'd yako kumbe na wewe ni kiazi tuMapaja ya kichaga mabaya
Sio kamanda tuu ni steering hauwawi hata akiuawa ni mateso tuu!Ndiyo huyu,Yatakwisha.sio vizuri kuwahadaa wazazi wa watu na mabibi wa wajukuu tena waliojichokea tangu kitambo, eti kamanda, alaaa?
kamanda gani mbibi hivyo ndungu zangu wadau?🐒
Vulugu ipi ilifanyika mahakamani?!Waliambiwa wasilete vurugu mahakamani
maskini dah 🐒Sio kamanda tuu ni steering hauwawi hata akiuawa ni mateso tuu!Ndiyo huyu,Yatakwisha.
Utakuwa mbyamulenge!watu ambao familia zao ziko ng'ambo mbona wengi tu gentleman na wapo humu nchini wakijifanya wana uchungu kinafiki tu ?
kwamba huwajui au?🐒
Kwamba Serikali ni wajinga wawaache mkusanyoke Ili mlete vurumai viwanja vya mahakama si ndio?Vulugu ipi ilifanyika mahakamani?!
Ndio ulivyo ukamanda!maskini dah 🐒
Wewe Sasa Ndio mjinga, Kuna vulugu ililetwa mahakamani au Upambe tuu, unaongea!Kwamba Serikali ni wajinga wawaache mkusanyoke Ili mlete vurumai viwanja vya mahakama si ndio?
Kawaulizeni wale Wapinzani wa Turkey kilichowalita na Kiongozi wao Yuko ndani na ana kesi kama Lisu.
Kuwa ndani sio Hukumu!Kwamba Serikali ni wajinga wawaache mkusanyoke Ili mlete vurumai viwanja vya mahakama si ndio?
Kawaulizeni wale Wapinzani wa Turkey kilichowalita na Kiongozi wao Yuko ndani na ana kesi kama Lisu.
Kwa hiyo nisitoe maoni jamaangu!?Nilikua naheshimu I'd yako kumbe na wewe ni kiazi tu
Mi nimevutiwa kujadili mapaja,kuhusu polisi mi nahafanywa vibaya kuliko huyoUna roho mbaya sana,kwani kuumia na mapaja yalivyo ina uhusiano gani
Kwani kesi haiitishwi?Kuwa ndani sio Hukumu!
Maoni ni kitu kizuri mno , na hata mimi nimetoa maoni yangu pia mkuuKwa hiyo nisitoe maoni jamaangu!?
Mi ni msaka pajapunguza upumbavu japo kidogo !
Nasisitiza wewe ni mbumbumbu Serikali sio wajinga Hadi wasubirie vurugu wakati wapuuzi walishapanga vurugu.Wewe Sasa Ndio mjinga, Kuna vulugu ililetwa mahakamani au Upambe tuu, unaongea!