Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Alionywa hakusikia. Alitegemea akienda atapewa bugger?Wakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052