PreGE2025 PICHA: Kada wa CHADEMA Upendo Kileo ateswa na kutupwa Msituni baada ya kufuatilia Kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni muhimu kuenda kufungua kesi na kama anawashuku wapo awataje ,halafu huyo ndugu zake ni majeshi tena na vyeo sasa sijui itakuwaje.
Hao ndugu zake wa jeshi wenye vyeo hapo hawawezi kusogeza hata pua zao wanaogopa ugali kumwagika
 
hivi anae wachora na kuwawekea hizo alama za michubuko kama ya kuanganguka na kuburuzwa na bodaboda nani hua anawachora?

Zinafanana kama zile za kale kakujiteka ka ACT pamoja na yule mama katibu wa BAWACHA enzi hizo alidai ametekwa huko mkuranga.

kwanini wanatumia blichi na iodine pekeyake?
walipaswa kuchanganya na ugoro au ile poda ya kupaka kwenye ndevu ziwe nyekundu.

hivi my friends, ladies and gentlemen,
nani atababaika na kabibi kame komaa kama hako aise?

yaaani uanguke na bodaboda udai ulichukuliwa na unaodhani ni maafisa usalama?

huenda ni walinzi binafsi wa heche ndio hupiga watu hovyo, Sigrada Mligo alipata kipondo cha maana bila sababu 🐒
Kweli kabisa.Kibibi kama hiki kikae nyumbani kulea wajukuu anahangaika mitaani
 
Wakuu

Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.

View attachment 3315050

Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
Samia hivi huyo binti yako mke wa Mchengerwa angepigwa na polisi namna hii ungejisikiaje? Huyu ni mwanamke kama mwanao na bado unawaamlisha polisi waje kuua na kutesa wananchi!! Wewe Kweli unastahili kuendelea kuwa Rais mwenye wajibu wa kuwalinda raia na mali zao?
Je hizi ndio siasa zako za kistaarabu?
 
Wakuu

Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.

View attachment 3315050

Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
Kibibi kizee kama hiki kisichokaa nyumbani kikalea wajukuu anahangaika mitaani
 
Kweli kabisa.Kibibi kama hiki kikae nyumbani kulea wajukuu anahangaika mitaani
ni aibu kwa familia yake yote pamoja na majirani zake,

Just imagine jirani anaenda kumjulia hali na kumuuliza huyo kulikoni jirani uko hivyo, halafu ajibu alihamasishwa kwenda kufanya mambo haramu kinyume cha sheria na joni heche kisutu kisha akajikuta tu yuko mabwepande?

inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise 🐒
 
Kinin
hivi anae wachora na kuwawekea hizo alama za michubuko kama ya kuanganguka na kuburuzwa na bodaboda nani hua anawachora?

Zinafanana kama zile za kale kakujiteka ka ACT pamoja na yule mama katibu wa BAWACHA enzi hizo alidai ametekwa huko mkuranga.

kwanini wanatumia blichi na iodine pekeyake?
walipaswa kuchanganya na ugoro au ile poda ya kupaka kwenye ndevu ziwe nyekundu.

hivi my friends, ladies and gentlemen,
nani atababaika na kabibi kame komaa kama hako aise?

yaaani uanguke na bodaboda udai ulichukuliwa na unaodhani ni maafisa usalama?

huenda ni walinzi binafsi wa heche ndio hupiga watu hovyo, Sigrada Mligo alipata kipondo cha maana bila sababu 🐒
KIbibi kizee badala ya kulea wzjukuu anahangaika mitaani
 
ni aibu kwa familia yake yote pamoja na majirani zake,

Just imagine jirani anaenda kumjulia hali na kumuuliza huyo kulikoni jirani uko hivyo, halafu ajibu alihamasishwa kwenda kufanya mambo haramu kinyume cha sheria na joni heche kisutu kisha akajikuta tu yuko mabwepande?

inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise 🐒
Tena ni kibibi kizee.Badala ya kulea wajukuu yeye yupo mitaani.Asema anafuatilia kesi.Kesi ya nini?
 
hivi anae wachora na kuwawekea hizo alama za michubuko kama ya kuanganguka na kuburuzwa na bodaboda nani hua anawachora?

Zinafanana kama zile za kale kakujiteka ka ACT pamoja na yule mama katibu wa BAWACHA enzi hizo alidai ametekwa huko mkuranga.

kwanini wanatumia blichi na iodine pekeyake?
walipaswa kuchanganya na ugoro au ile poda ya kupaka kwenye ndevu ziwe nyekundu.

hivi my friends, ladies and gentlemen,
nani atababaika na kabibi kame komaa kama hako aise?

yaaani uanguke na bodaboda udai ulichukuliwa na unaodhani ni maafisa usalama?

huenda ni walinzi binafsi wa heche ndio hupiga watu hovyo, Sigrada Mligo alipata kipondo cha maana bila sababu 🐒
Kupigwa Lissu ilisemwa ni wao kwa wao,huyu ni wao kwa wao,kwanini maafis a usalama wasijisafishe kwa kuwaburuza hao watu mahakamani?
Mzee Kibao wao kwa wao,Azory wao kwa wao,Ben Rabiu Saa8 hivyohivyo, kweli chama kinashinda intelijensia SERIKALI?
 
Back
Top Bottom