Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,000
- 25,342
Utapigwa ukuni wandayMapaja ya kichaga mabaya
Utapigwa ukuni wandayMapaja ya kichaga mabaya
Unakwenda shikz sharubu za simba.Halafu akutizame tu.Dola ni simba.Hicho kibibi kizee chaenda kuzurura mitaani.badala ya kulea wajukuuHuyu mama wa macho malegevu ni muuaji.
She is a butcher. Mikono yake imeoloa damu.
Yuko tayari kuchinjachinja mtu yeyote kwa ajili ya power.
Unataka kutembea juu ya maiti za watu kuelekea Ikulu.
Shame on her
Usiabudu DolaKi
Unakwenda shikz sharubu za simba.Halafu akutizame tu.Dola ni simba.Hicho kibibi kizee chaenda kuzurura mitaani.badala ya kulea wajukuu
Furahini tu ila mnahesabika Dunia ni ndogo kama kiberitiKatupwa leo tena wameendelea kukamatwa..
Ya mamako yana ukurutu kabisa mbwiga wewe.Mapaja ya kichaga mabaya
Hongera Samia kazi yako tunaiona.Wakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
Sitokujibu...Furahini tu ila mnahesabika Dunia ni ndogo kama kiberiti
Unapenda au sio...Kila Uzi nakuta komenti yako kipara Cha Kansa.
Eu,Au,Un,BBC, aljezira,cnn nk wakati waneshazoea kuona picha za kutisha kutoka Gaza ,congo ,Sudan,nk .ushauri wa Bure kila mtu afanye KAZI yake usimsaidie mwanasiasa kufanya siasa yeye anafsidika moja Kwa moja wewe komaa na mambo yako.Kayaanika ya nini sasa,? Hayo mapaja ?
Anamuanikia nani?
Kwahiyo maujai yote yaliyopatikana msituni huko nyuma ni serikaliWakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
Unaonyesha usivyo na roho ya utu hata kidogo hata wana ccm wenzio wenye utu hawajafurahia kilicho fanywa jana lakin wewe unaonekana. KuenjoySi mmeanika mapaja yake,nisiyajadili!?
OGOPA SANA watu waliokaa kimya, kuna siku ikifika lolote linaweza kufanyika, MUNGU yupo kila wakatiWakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
HaaaaaMapaja ya kichaga mabaya