Picha kali ya Mwezi wa 4 hii hapa

Erythrocyte unaishiwa sasa! We utakuwa ndo mbowe mwenyewe, si kawaida hii. Kilichokupendeza wewe nini hapo?!!! Au hayo makengeza kujificha kidogo?!!!!
ukiambiwa mimi ni ofisa wa ubalozi utalia au utanuna ?
 

Pole pole neno gaidi umeona halilipi hatimaye uachane nalo kimya kimya?
 
Mzungu hatakaa aje akusaidie kama huna maslahi kwake
 
Nadhani kali ni ile Mbowe anasalimiana na wamama wa ccm
Ile ni kali sana.

Natamani zingepatikana nyingi za namna ile.

Hawa jamaa kwa kawaida hawana msaada sana bila ya kutaka kukutoa mshipa.

Hawa ni wa kucheka nao tu na kwenda zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…