Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Muulize mama tozo , mmejengewa hadi vyooMzungu hatakaa aje akusaidie kama huna maslahi kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize mama tozo , mmejengewa hadi vyooMzungu hatakaa aje akusaidie kama huna maslahi kwake
Keshaona MaslahiMuulize mama tozo , mmejengewa hadi vyoo
Ni janga la taifaUnazi bana.
Rangi ya tie ni ya jirani ina maana nako anakubalikaHii picha kali imepigwa ndani ya ofisi za Ubalozi wa Marekani .
Kiukweli wengi wametembelea ubalozi huu lakini Picha hii ndio bomba zaidi .
View attachment 2184257
Haters at workFikra za kitumwa ndizo zinasababisha TANZANIA kutoendelea!Mwenyekiti kafundishwa pozi la kuweka?😆😆
Hili lijamaa huwa linakurupuka kusifia kila kitu cdm lisikusumbue!!SAHIHISHO: Hapo ni kwenye makazi (nyumbani) kwa Balozi, na siyo ofisi za Ubalozi wa Marekani.
Mungu akusameheHili lijamaa huwa linakurupuka kusifia kila kitu cdm lisikusumbue!!
Mtandika kitanda Cha mbowe huyo achana nae.Erythrocyte unaishiwa sasa! We utakuwa ndo mbowe mwenyewe, si kawaida hii. Kilichokupendeza wewe nini hapo?!!! Au hayo makengeza kujificha kidogo?!!!!
Wewe tajiri unawaza kupiga picha na mzungu ndo kufanikiwa kiakili.Masikini wanawaza kula tu !
Hii imetisha sana. Baba Keagan kule analia sijui ameogopa hii picha au vipi
Huo ukali wa picha ni kwasababu ya uwepo wa Mbowe au kuna kingine??.Hii picha kali imepigwa ndani ya ofisi za Ubalozi wa Marekani .
Kiukweli wengi wametembelea ubalozi huu lakini Picha hii ndio bomba zaidi .
View attachment 2184257
Ukali wa picha ni Mbowe kupiga picha na mzungu.Huo ukali wa picha ni kwasababu ya uwepo wa Mbowe au kuna kingine??.
Yaani Mbowe kupiga picha na mzungu ndio kumefanya picha iwe kali??,Sawa.Hakika sisi ndio Waafrika inamaana Mbowe angepiga picha na Mchungaji Msigwa wa Iringa Isingekuwa kali lkn na mzungu ndio inakuwa Kali.Ukali wa picha ni Mbowe kupiga picha na mzungu.
Yule mtandika kitanda Kila siku anaimba Mungu wabariki wazungu!
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Tukiweka ukabila,uchama na chuki pemben...jamaa anamwonekano wa kiRais aisee...sana yaan