Meni alonso
New Member
- Jun 8, 2019
- 2
- 1
Hii ni miongoni mwa picha ninazo zipenda sana kwenye simu yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp kiongozi iv kampuni gani mzuri naweza nikanunua machine hii nataka nianzishe biashara ya kukata miti na mbao
Kama unataka machine kazikazi ya kupigia kazi muda mrefu,basi tafuta katika majina haya mawili,husqvarna au stihl.Hiyo unayoiona hapo ni stihl.Vp kiongozi iv kampuni gani mzuri naweza nikanunua machine hii nataka nianzishe biashara ya kukata miti na mbao
Be Serious nmeona wewe ni new member ...ila haimaanishi upost hiv jf hapa ni zaidi ya Instagram na facebook