Picha: Kama kawaida vijana wa Bavicha wakigongea Kahawa mitaani Bukoba Kwa kisingizio Cha Katiba mpya. Kwa Sasa wanahali ngumu sana kiuchumi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kila mtu anajua fila kuwa Chadema inawakati mgumu sana, sasa imefikia kiasi Cha kupiga mizinga vijiweni
 
Mataga pori tunashukuru sana kwa hii promo.

Wakati hao vijana wa Bavicha wanapita vijiweni kuutaarifu umma umuhimu wa kudai katiba mpya, nyie chawa wa UVCCM mnazunguka kwenye wodi za wagonjwa mkiwafariji wagonjwa kwa kuwaonyesha picha ya Samia mnayotembea nayo kwenye fremu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…