njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
wapi ndugu yangu.....wamebaki na ile mentality ya kimaskini tukose wote kama sisi tunatolewa round ya awali kwa nini wewe ufike robo fainali...wana roho mbaya sana na kwa sasa imewaingia hadi kwenye mifupaHivi ule msemo wao wa kujiita wa kimataifa uliishia wapi?
Nilikuwa nabishana na mmoja wao jana anasema mwaka huu wanaenda kuchukua ubingwa Africa , nilisikitika sana nikakosa jibu jamani dahMkuu wanatamani sana wakawapokee wachezaji wao wakitoka nje ila sasa wanajikuta wako hapahapa tu ili wajifariji wanaenda kupokea wapinzani wetu.Uto bwana mwiko unawatesa sana huko nyuma.
likitokeaga hilo huwa wanasema simba inatumia uchawi na kupuliza sumu vyumbani...ninachofurahi ni kwamba washajua wao kimataifa ni round ya awali mwisho wao, washakata tamaa kwa hiyo wamewekeza kwenye majungu na kuikatisha simba tamaa tufanane naoSijui mashabiki wa yanga huwa hawaoni aibu, bahati mbaya wakiipokea tu timu basi hiyo timu itakula mvua za kutosha kwa mkapa.
wanasubiria kwa hamu sana..utasikia hamchomkii hamchomokiiiiiKwa sasa wamefungwa midomo mpaka saa 10 wataanza tena fyonko fyonko
Wako flexible wanasbiri saa kumi wafungueee nyuzi za kuitisha simbaWale friend wa usgn wamepotelea wapi na uzi wao
They are foolish these people, why are they not be proud for Simba's success. We fought till next year we go 4 teams inteenational but they are not thanksfully...waache waendelee kuchunga ng'ombe wa Mayele.Kamati nguli ya mapokezi ambayo kwa hii miaka 4 imeteseka kupokea wageni wa kila aina na kununua majezi feki ya kila aina leo iko stand by kujua week ijayo wanenda kumpokea nani airport.
Ila habazi za ndani ndani zinadai wanamtamani sana aje Tp mazembe kwani wao hujiona kama ni wa congo ila kwa kuwa iko nje ya uwezo wao wanawasikilizia CAf hapo saa kumi leo kujua watapangiwa mgeni gani wa kumpokea.
Kila la heri kamati ya mapokezi , Mungu awape wepesi wa kazi yenu ngumu nA ya kizalendo kabisa katika kukirimu wageni..MSISAHAU KUWAHADITHIA KUHUSU NGUVU ZA GIZA NA KUPULIZIWA SUMU VYUMBANI.
View attachment 2176241
Wameshaanza tayari huko kuwa simba inamlima wa kupanda dhidi ya orlando,wanasubiria kwa hamu sana..utasikia hamchomkii hamchomokiiiii
Ni kawaida yao wansubiri per diem ya bahasha za kahki za airportWameshaanza tayari huko kuwa simba inamlima wa kupanda dhidi ya orlando,
Wawapigie simu Rivers nao waje.Kamati nguli ya mapokezi ambayo kwa hii miaka 4 imeteseka kupokea wageni wa kila aina na kununua majezi feki ya kila aina leo iko stand by kujua week ijayo wanenda kumpokea nani airport.
Ila habazi za ndani ndani zinadai wanamtamani sana aje Tp mazembe kwani wao hujiona kama ni wa congo ila kwa kuwa iko nje ya uwezo wao wanawasikilizia CAf hapo saa kumi leo kujua watapangiwa mgeni gani wa kumpokea.
Kila la heri kamati ya mapokezi , Mungu awape wepesi wa kazi yenu ngumu nA ya kizalendo kabisa katika kukirimu wageni..MSISAHAU KUWAHADITHIA KUHUSU NGUVU ZA GIZA NA KUPULIZIWA SUMU VYUMBANI.
View attachment 2176241
Kuna lile zwazwa linaitwa GENTAMYCIN limeanzisha nyuzi tatu mfululizo na zote Mods wameziunganisha.Wako flexible wanasbiri saa kumi wafungueee nyuzi za kuitisha simba
yule ana ugonjwa kama wa manara au kigogo wa twitter kupenda kuonekana yeye genius na kushidana ila deep anaipenda sana simba na trust me anachoandika ni kinyume chake ana ID's kama 40 atarudi kivingine kabisaKuna lile zwazwa linaitwa GENTAMYCIN limeanzisha nyuzi tatu mfululizo na zote Mods wameziunganisha.