njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Niseme tu yanga ndiyo klabu inayoendeshwa kwa mpangilio wa hali ya juu yaani level za la liga, communication kati ya kitengo hadi kitengo ni ya hali ya juu na kwa nidhamu ya hali ya juu sana
Ukiangalia hizi picha kutoka MJI WA AVIC walipoweka kambi unadhani ni nini kiwatoe nje ya Tanzania jamani, hapo wachezaji wata relax kabisa kama naiona nusu fainali ya klabu bingwa afrika ileee kiulaiiini, bonge la kambi
Hili liwe funzo kwa washamba kwamba tuthamini vya kwetu nyumbani