Picha: Kambi ya Yanga inatisha, ina sauna

Picha: Kambi ya Yanga inatisha, ina sauna

"Naiona Nusu fainali ya klabu bingwaa kiulaini asee"

Rivers United 1- 0 Manyonyo Fc
Manyonyo fc 0 - 1 Rivers United

Klabu bingwa gani unayosemea wewe unahisi lile kombe la mbuzi na izo beki zenu.
Wakipangwa tena na Rivers halafu wakaanzia nyimbani, moja kwa moja tutawaaga kwenye CAFCL.

HAKUNA UKWELI MWINGINE TOFAUTI NA HUU.
 
Wewe Kolo, Agosti 13 Sio Mbali Patakuwa Pachungu Humu, Pindi Ufunguo Atakavowashindilia Msumari Wa Moto Na Kupoteza Tena Mechi Mbele Ya Mabingwa Mara Zote [emoji4]
Bado kidogo tu huo ufunguo wenu utawafungua na sehemu msizostahili, kila siku ufungu...ufunguo...ufungo..ufunguo[emoji2788].

Unajua mnaonekana wajinga sana[emoji23].
 
Wale waliosema timu imepelekwa Matombo Morogoro kwa ajili ya Pre season waje wajitekenye hapa, na kucheka wenyewe.

Ukiondoa ushabiki maandazi, ukweli utabakia pale pale! Hilo eneo la Avic Town lina muonekano mzuri, na pia limejitosheleza kwa ajili ya hiyo Pre season.
Kwahiyo hiyo pic umeiamini, na kwamba bado hujajua kuwa mleta mada ni professional kwenye kitengo cha kejeli? [emoji23]
 
Ama kweli Manara alisema kweli ya kuwa mashabiki wa Utopolo wote hawana akili atakama akiwa na Degree
 
Aliyesema anakwenda uturuki ni Nani?
NI kweli MIPANGO yao ilikuwa avic au mpunga umekata
 
Aliyesema anakwenda uturuki ni Nani?
NI kweli MIPANGO yao ilikuwa avic au mpunga umekata
Mabingwa wenzetu wa 2021/2022 afrika wamebaki nyumban kwann sisi tuanze kuzurura?ushamba huu tumewaachia mabingwa wa mapinduzi
 
Mkuu hiyo kambi ina sauna peke yake au na joiso?
 
Back
Top Bottom